Sample only — first 1–2 pages. Buy to unlock the full file.
Codes for the Art that still Believes
CODES FOR THE HEART THAT STILL BELIEVES Ni kitabu kinachofichua misingi 25 muhimu ya mahusiano yenye upendo wa kweli, uaminifu, heshima na kuelewana. Kitakusaidia kuelewa namna ya kuchagua mwenza sahihi, kutambua dalili za mahusiano yasiyo na afya, kupona na kumsahau aliyekuumiza, kuanza upya, kujipenda mwenyewe kabla ya kumpenda mwingine, kutoka kwenye mahusiano yanayokusumbua, kuepuka makosa yanayoharibu mapenzi na kujenga uhusiano imara wenye furaha na amani ya moyo bila kujipoteza mwenyewe Kitabu hiki ni kwa kila mtu anayetaka kupenda kwa hekima, kuelewa mahusiano kwa undani na kujenga upendo unaodumu. Kama umewahi kuumizwa, kukatishwa tamaa au unatamani mahusiano bora, kitabu hiki kina ujumbe muhimu kwako. Jifunze kupenda kwa moyo, lakini pia kwa hekima! Unaweza kununua PDF kwa TZS 15000 au Hardcopy kwa 30000 tu. Unaweza kufuata mwenyewe Ubungo Mawasiliano DAM au ukaagiziwa. Kwa msaada zaidi piga simu 0764030966
Customer reviews
- Zena Shaban
- BARAKA MORICE GILO
- Kevin Matungwa Stansilaus
Kitabu kizuri sana
- Kevin Matungwa Stansilaus
Kitabu kizuri sana
- Kevin Matungwa Stansilaus
Kitabu kizuri sana
