Sample only — first 1–2 pages. Buy to unlock the full file.

Ebooks

UWAKALA WA MIAMALA YA SIMU

No ratings yet
KEVIN MATUNGWA STANSILAUS

Hiki ni kitabu kizuri sana kwa mawakala au mtu anayehitaji kuwa wakala. Kimeelezea kwa vitendo mambo muhimu ya kuzingatia kuwa wakala, namba ya kupata line na kuzitumia, Kuchagua eneo la biashara, namna kuongeza faida na jinsi faida imavyopatikana, kufunga na kufungua hesabu, utapeli na namna ya kuepukana nao, kuajiri na kufanya kazi na msaidizi, Ulinzi wa eneo lako la biashara na ushauri zaidi wa kuboresha biashara yako

Price
TSh 10,000
+ TSh 500 collection fee at checkout · total TSh 10,500
Secure checkout Mobile money Instant access
Share this product